GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tunajua Hoteli uliyofikia, Viongozi wa hiyo Klabu unaowasiliana nao na hao Makomandoo wako ulioambatana nao na ambao Wanawasaidia hao Wanafiki na Marafiki zenu mnaowasaidia kwa tukio la leo Jioni hivyo kuwa / kuweni makini sana.
Wana Simba tunajua kuwa leo tunacheza na Timu Tatu ( 3 ) na upo Mpango wa Wachezaji wetu Chama, Ngoma, Ntibanzokinza, Onana na Chemaloni Kuumizwa vibaya ili Kutudhoofisha na wakose Mechi ya African Football League ( AFL ) dhidi ya Al Ahly SC tarehe 20, Oktoba 2023.
Kwetu Sisi wana Simba tunajua kuwa Mechi ya Leo na hao Wanafiki mnaowasaidia ni Ngumu na ndiyo maana tumeamua Kujipanga nayo ndani na nje ya Uwanja hivyo kama unajua uko huo Mkoa kwa ajili ya Kuihujumu Simba GENTAMYCINE nakuomba ondoka sasa hivi huo Mkoa au Usithubutu kabisa baadae kusogea Uwanjani ili lisije kukuta la kukukuta kisha ukalaumu au ukatulaumu.
Nimemaliza.