Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

Erotica

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
2,513
Reaction score
1,735
Kila mmoja wa wana MMU akiulizwa hapa kiwango chake kipo vipi katika sex atasema yupo fit.
Kinabaki kimshangao kimening'ang'ania kikiniuliza ndani ya nafsi yangu hao waliopo uraianai
wanalalamika hawaridhishwi na wapenzi wao sio members wa jf? Au sababu hakuna kipimo cha kupima kama kile cha kupimia level ya pombe uliokunywa kijulikanacho kama breathalyzer? Kikiletwa kipimo cha kupima kiwango chako cha sex kwa kipimo cha sexkiwangolyzer nani atasogea hapo kupima? Amka baba, Amka mama.
Acha kujidanganya na kutudanganya na jitazame upya ukute wewe ni mbovu. Hio hasa kwa wanaume.
Tujipime na kujijua wajameni ili tukaze bolt sehemu zilizolegea! BTW mimi nipo fit! Nalijua hilo
nisha dhibitisha na kipimo cha sexkiwangolyzer ambacho bado hakijang'amuliwa teh teh teh.


Mwaaaah.

Appended (Courtesy of EMT):

Hizi ni baadhi ya myths ambazo zimesambaa kwenye vichwa vya watu wengi. Do you believe in any of them? Ikiwezekana tuanze kujadili moja moja.
 
Hi Erotica, upo bibie? Nice to see you again.
Sasa tunakazaje hizo bolts? Mwaga maujuzi...
 
Last edited by a moderator:
Kati ya mambo yooote yaliyopo duniani, sex ndio mazungumzo yenu. Hivi kuwa member wa JF hadi kiwango changu cha sex kijulikane na wewe?

Haya ukishajua ndio inakuwa nini?

Kama mnauza semeni kwa kunyoosha maongezi. Siku moja moja jadilini mambo ya maana. Akili mmeziweka kwenye sehemu za uzazi basi saa zooote mijadala ni namna gani sehemu za siri za mwanaume zitawatosha, Loh!
 
Hi Erotica, upo bibie? Nice to see you again.
Sasa tunakazaje hizo bolts? Mwaga maujuzi...


rahisi. ukisha jijua wewe ni mbovu unaangalia ni sababu gani.
kua confident uliza mpenzi wako nini inatakiwa uboreshe. Kifaa chenyewe au mautundu?
hapo unafanyia kazi. nice to see you 2 Mwali.
 
Last edited by a moderator:
Kaka mbona unapost kwa uchungu sana? Kimekuuma?

 
Kumbe watu hujisifia? Mie nilidhani husifiwa.
 


Mwana mtoka pabaya wewee!!! hapa nikimaanisha hivo hivo sio kwamba nakuita! Kaaaah.
wewe umeingia mmu unategemea kupata topic gani zaidi ya cheating, nyumba ndogo,
nimetendwa, after sex mistakes, kapos fight, being ignored yote hayo msingi wake ni sex. cha ajabu nini?
kama wewe mbovu na ukasema hapa tutapeana tips, unaona hazikufai sepa kabla hata hayo maneno sijayafilisi.
Eti mambo ya maana. ungezaliwa wewe bila sex? au na wewe huna maana?
 
rahisi. ukisha jijua wewe ni mbovu unaangalia ni sababu gani.
kua confident uliza mpenzi wako nini inatakiwa uboreshe. Kifaa chenyewe au mautundu?
hapo unafanyia kazi. nice to see you 2 Mwali.
Kuna partners wengine wanajifanya wanajuaaaaaa
hadi unaona ukimwambia utamuumiza ego yake
Hapo unaanzaje kumsaidia kukaza bolts zake sasa?
 
Hahahahaha, huyu ndie Erotica bwana. lol
 
ucpojisifia na kujikubal nan atafanya kwa niaba yako?
 
Kila mmoja ana uhuru wa kutoa mawazo yake, na humu kuna majukwaa tofauti tofauti ukiingia MMU maana yake mapenzi na mahusiano na urafiki, ukitaka siasa, ukitaka elimu, ukitaka mapishi n.k
Hayo unayoyataka wewe yatafute kwenye jukwaa husika, tuachie MMU yetu tujinafasi, Usiwafunge watu LUKU.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…