Wewe Ndio Kocha, Golini Angeanza Nani?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Wewe ndio kocha, na timu yako ina magolikipa hawa wafuatao, ungemachagua nani kuanza golini kwako kutokana na fomu yake ya sasa?

1.Ter Stegen
2.Cortous
3.De Gea
4.Alisson
5.Oblak
 
Wewe ndio kocha, na timu yako ina magolikipa hawa wafuatao, ungemachagua nani kuanza golini kwako kutokana na fomu yake ya sasa?

1.Ter Stegen
2.Cortous
3.De Gea
4.Alisson
5.Oblak
Dada Gea ni shati.
 
Wewe ndio kocha, na timu yako ina magolikipa hawa wafuatao, ungemachagua nani kuanza golini kwako kutokana na fomu yake ya sasa?

1.Ter Stegen
2.Cortous
3.De Gea
4.Alisson
5.Oblak
Hapo kipa ni Oblak peke yake actually ndio ana clean sheets nyingi zaidi kuliko hao wengine msimu uliopita..... Oblak hajafungwa goli kwenye mechi 73 kati ya mechi 125 alizochezea atletico yaani 60%. Kwa ufupi labda Alison (wa msimu uliopita) ndio kidogo anamkaribia ila hao wengine hamna kitu kwa sasa.
 
Agrey Mwanri Mkuu wa Mkoa wa Tabora, hapo washambuliaji wangekula vyenga hadi anaukalia mpira mana kunakua hakuna mtu mwingine tena wa kumpiga chenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…