Jpinduzi
Senior Member
- Feb 26, 2011
- 136
- 68
Wewe ndiwe Adonai, kwa maana wewe ndiwe Mungu mwenye enzi yote, uliye juu ya yaote.
Wewe ndiwe El- Ohinu, kwa maana wewe ndiwe Bwana Mungu wetu, sina kimbilio jingine.
Wewe ndiwe El-Gibor, kwa maana wewe ndiwe Mungu mwenye nguvu zote.
Wewe ndiwe El-Eliyon, kwa maana wewe ndiwe Mungu uliye juu sana sana.
Wewe ndiwe Elohim, kwa maana wewe ndiwe Mungu muumbaji wa hivi vitu vyote.
Wewe ndiwe Jehovah Mekadesh, kwamba wewe ni Mungu utakasaye na kutousha makosa yetu
Wewe ndiwe Jehovah Shamah, Mungu wangu unayenizunguka na kunijaza kwa uwepo wako.
Wewe ndiwe Jehovah Saboath, Mungu wangu unayenipigania kwa majeshi yako na nguvu.
Wewe ndiwe Jehovah Nisi, Mungu wangu unayenishindia vita na mapambano yangu yote.
Wewe ndiwe Jehovah Rafa, Mungu wangu unayeniponya na kuhuisha afya yangu kila siku.
Wewe ndiwe Jehovah Shalom, Mungu wangu unayenijaza kwa amani yako na furaha yako.
Wewe ndiwe Jehovah Rohi, Mungu wangu unayenichunga na kuniongoza ktk malisho mazuri.
Wewe ndiwe Jehovah Yire, Mungu wangu mtoaji, unayenipa kila kitu ninachohitaji maishani.
Wewe ndiwe El-Shaddai, Mungu wangu unayenitosheleza kwa yote ninayohitaji maishani.
Ee Baba yangu, Jina lako libarikiwe, jina lako litukuzwe, jina lako liinuliwe kuliko majina yote.