Raggy Singo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 308
- 292
Sijajichunguza bado....ila nikipata full-caste nauhakika tutatengeneza hiyo half-caste.kwani na wewe ni full-caste! [emoji20][emoji20]
na mimi ni full-caste naomba kuja [emoji3]Sijajichunguza bado....ila nikipata full-caste nauhakika tutatengeneza hiyo half-caste.
Yani kanda ya ziwa watu poa ni wakurya tuu hawana longolongonatoa wapi nguvu ya kukataa
Wewe ushasema...uko half-caste...na mimi ni full-caste naomba kuja [emoji3]
Wasambaa atuombagi ombagi
me ndiye mlengwa wa hiki ulichoandika au uliquote kwa bahati mbaya?
Bahati mbayame ndiye mlengwa wa hiki ulichoandika au uliquote kwa bahati mbaya?
mhWewe ushasema...uko half-caste...
Mama mgogo ,baba msambaa
Haya I hope ulisikiliza wimbo wa dula makabilaMama mgogo ,baba msambaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe me au Ke? Kama me Sawa ila kama Ke siyo Ndugu yangu
Hahahahhahahahaanatoa wapi nguvu ya kukataa