sana...nipo napavutia picha hapa!Unapakumbuka...??[emoji23]
Usisahau na zile ngoma zao tuu...sana...nipo napavutia picha hapa!
hahaha[emoji23][emoji23] ngoma zile nazikumbuka, alafu ajabu wewe sikukuona kucheza.....why!!Usisahau na zile ngoma zao tuu...
Nimecheka kwa nguvu Miller,.unajisahaulisha ee,. umesahau mm ndiyo binti pekee wa kifalme wa Zamunda,.nachezaje ngoma kwa mfano na vile viwalo vyao😂😂😂hahaha[emoji23][emoji23] ngoma zile nazikumbuka, alafu ajabu wewe sikukuona kucheza.....why!!
au ndio binti wa mfalme hachezi!
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka kwa nguvu Miller,.unajisahaulisha ee,. umesahau mm ndiyo binti pekee wa kifalme wa Zamunda,.nachezaje ngoma kwa mfano na vile viwalo vyao[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana