EeeeeehJamaica, Zamunda.. Daughter of Zamunda herself,.. Le Mulatto, yay"[emoji6]
Nimecheka kwa nguvu Miller,.unajisahaulisha ee,. umesahau mm ndiyo binti pekee wa kifalme wa Zamunda,.nachezaje ngoma kwa mfano na vile viwalo vyao[emoji23][emoji23][emoji23]
Couple yenu bado ipoo??? Nauliza tu[emoji126] [emoji126]hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
mimi sasa ni pure mpare sipo hayo makundi ya hafu
Unatakiwa uwe mu ethiopian kama mimi
watu wa ukerewe kwa majungu na uchawi hapana chezea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana
Sina majungu mkuu
Sory mkuu unaquit vipi coment mbili kwa pamoja natumia cm imenishinda sijaizoea kama laptopperfect comboz!! [emoji38]
NB: when chagga is constant.
gusa tu comment zote alafu at the upper right corner kuna opt ya kuQuote.Sory mkuu unaquit vipi coment mbili kwa pamoja natumia cm imenishinda sijaizoea kama laptop
Embu ngoja nijaribu nitakuletea mrehesho shukranigusa tu comment zote alafu at the upper right corner kuna opt ya kuQuote.
Hivyo vitu havipatikani kwa wakerewe pekee mkuu, hata makabila mengine vipo pia.watu wa ukerewe kwa majungu na uchawi hapana chezea
Chagga and kurya😀
Chagga + kerewe
Bila shaka nyie ni ndugu ni vile hamjuani
Shukrani mkuu nimeweza baba ubarikiwe mno.gusa tu comment zote alafu at the upper right corner kuna opt ya kuQuote.
sasa pigo za kizaramu unazitolea wapi??Digo and shirazi
1. Kuna unaishi wapi uwe mwenyeji wangu sijuiHizi mada nzuri sana kwa baadhi ya watu.
Kuna Uzi kuhusu;
Shule uliyosoma.
Kabila
Half caste
Uliyesoma naye.
Tabia yako
Chuo.
Shule ya msingi etc
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wakerewe fitina wamezidiHivyo vitu havipatikani kwa wakerewe pekee mkuu, hata makabila mengine vipo pia.
aminaShukrani mkuu nimeweza baba ubarikiwe mno.