Wewe ni mkulima wa vitunguu unayetafuta soko? tuwasiliane

Wewe ni mkulima wa vitunguu unayetafuta soko? tuwasiliane

Mtafiti Madini

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
101
Reaction score
35
Salama wakuu,

Ni kwa wale wakulima wa vitunguu, kama wewe ni mkulima wa kitunguu unayetarajia kuvuna au ushavuna vitunguu vyako na unatafuta soko tuwasiliane ndugu yangu.Unaweza kupata soko.
 
TEKi na mimi natafuta vitunguu pia.niko dar, wewe unalimia wapi na unataraji kuvuna lini?
 
Last edited by a moderator:
Jamani nyie ambao mnasema mnalifahamu soko la vitunguu basi muwe active tafadhali,tunataka tujue tunauzaje na yaan bei ikoje na vitu km hvyo
 
Jamani nyie ambao mnasema mnalifahamu soko la vitunguu basi muwe active tafadhali,tunataka tujue tunauzaje na yaan bei ikoje na vitu km hvyo

Mkuu wewe una vitunguu? viko wapi? una wastani wa gunia ngapi? kama ukiona shida kujibu hapa njoo PM.
 
Wakuu mimi natarajia kuvuna vitunguu maji tar 18 mwezi huu maeneo ya Mtandika Iringa na ni kama wastan wa gunia 200
 
Back
Top Bottom