Mtafiti Madini
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 101
- 35
Mi nimevuna kitunguu saumu sh ngapi huko?
Jamani nyie ambao mnasema mnalifahamu soko la vitunguu basi muwe active tafadhali,tunataka tujue tunauzaje na yaan bei ikoje na vitu km hvyo
wakuu mimi natarajia kuvuna vitunguu maji tar 18 mwezi huu maeneo ya mtandika iringa na ni kama wastan wa gunia 200