Duuh... wee nomambunye
Duuuhhh umeisoma thread vizuri na ukaielewa lakiniMe usingizi tu
nauchapa mpaka kazini
Nina kingaAisee.
Huwezi kutumbuliwa mkuu?
Yap.tofautiDuuuhhh umeisoma thread vizuri na ukaielewa lakini
AiseeeeeeeYap.tofauti
Na hapo nna ulevi wa kukupenda ww
[emoji767]MI MOVIES HATA NICHELEWE KURUDI HOME SAA 5 USIKU LAZIMA NI CHEKI MOVIE KIDOGO THEN NILALE.Tuwe wakweli kabisa, ni kitu gani au jambo gani umekuwa mlevi nalo, kiasi kwamba haipiti hata dakika moja ushalitamka au kulishika na mara nyingine huwezi kufanya jambo fulani hadi hicho kitu ukihusishe kwa namna moja au nyingine.
Mimi binafsi ni mlevi wa hivi vitu.
1. Simu yangu(Smart phone)
2. JF.
Ila binadamu tunatofautiana sanaMy addiction
View attachment 689050
Why unasema hivo?Ila binadamu tunatofautiana sana
Iyo addiction yakoWhy unasema hivo?