Kwa wanaosema simu.
Simu ina internet.
Internet ina websites.
Websites kuna ya bodybuilding forum.
Lakini kuna xvideos, pornhub, jamaicavids na world sex pia.
Ukiwa na watu simu yako inaingia bodybuilding forum.
Ukiwa peke yako simu yako inaingia xvideos & co.
Hoja yangu ni kua ukiwa na simu una advantage ya kufanya ujinga mwingi na dhambi nyingi kuliko usipokua nayo.
Mfano kuchepuka.
Ukichukua namba ya simu ya binti. Baada ya salamu ukamuuliza 'Umekula?' Akajibu 'Bado, wewe je?'
Unajua tayari hili ni bao la ushindi.
Text inayofuata ni 'Send nudes babe'
Natania...
Inayofuata ni 'Nataka nipike, weekend njoo unipe review ya upishi wangu'
Pia anayesema simu ni ulevi wake, inamaanisha pia..
Atajitenga ili apate muda na simu yake.
Hana mawasiliano mazuri na watu.
Atafanya nusu ya vitu ili kuivutia online community.
Poor communication skills.
It simply means, this person is antisocial.
Am out