[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] hahahahah misambwanda na iheshimiweHiyo sentensi ya mwisho umeingia anga za mtu humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Behaviourist
[emoji114][emoji114] ahsante umenisemeaSimu ulevi wangu.
Hahaha kama ni pepa ushafeliMe usingizi tu
nauchapa mpaka kazini
Simu
Wanaume wazuri
Muziki
Pombe sio sanaa
Umeona ehh!Tukiwa wawili inapendeza zaidi ila ukiwa peke yako inanoga sana
Haya niliyajua unaona sasa..Simu
Wanaume wazuri
Muziki
Pombe sio sanaa
Deo anapenda ma miss TzHaya niliyajua unaona sasa..
Haya sijamuona deo hapo muongeze.kwamba ww ni mlevi wa deo pia
Ubuyu tunda au ubuyu stori?
Ha ha ha...Tukiwa wawili inapendeza zaidi ila ukiwa peke yako inanoga sana