Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Unaweza kufanya chochote hapa duniani na ukafanikiwa.
"Kila siku kabla ya jua kuzama samehe wote waliokukosea ikiwemo na wewe mwenyewe, ukiamka kabla jua kuchomoza itakase siku yako na jitamkie baraka uzitakazo"
Fanya hivyo kila siku usiache.