Wewe ni nani

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Binti mmoja alichumbiwa na mwanajeshi mmoja. Wote wawili walikuwa wanapendana sana.
Siku moja yule binti alitaka kumpima mchumba wake aone anampenda kwa kiwango gani.
Binti akamwandikia mchumba wake kumwambia."Nimeamua kusitisha uchumba na wewe
coz nimepata mchumba mwingine anayenipenda zaidi. Naomba unirudishie picha yangu uliyochukua"
Mjeda alipopata barua kutoka kwa mchumba wake; alisononeka sana.
baada ya kufikiri sana, akapata wazo ili angalau naye apunguze machungu.
Akaomba picha za wake zamarafiki zake pale kambiniakapata karibu picha 200,
akaandika barua ya kumjibu akasema
"Nimekusahau, wewe ni nani? Angalia katika picha hizo uchukue picha yako.

Hii ndio inaitwa UKIZINGUA...TUNAZINGUANA
 
lol jamani hii ni c & p yaani copy and paste tena leo leo hata hungoji ilale lol! kuwe na copy right basi mode note hii mtu unafungua threads zenye heading tofautitofauti unafikiri another joke kumbe repitition. aah!
 
:lol:
Duh, sa sijui kama binti lengo lilitimia.
 
Mdada hapo atajuta kumjaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…