DrMatelephone
Member
- Feb 29, 2020
- 6
- 7
Kama unavyojua, Ili uweze kutumia application ya Tigo Agent unahitaji OTG. Na OTG zipo kwenye simu chache tu. Kwenye simu nyingine inabidi upoteze muda wako ku-donwload OTG kwanza ndio Iweze kufanya kazi.
Sasa kama hutaki kupoteza huo muda. Na unatafuta simu inayokuja na OTG moja kwa moja. Unaweza ukaendelea kusoma.
Hii simu inaitwa vivo Y91C. Ni kampuni ya simu inayokua kwa kasi sana hapa Tanzania. Zaidi ya wateja 7000 wameshanunua hizi simu.
Sifa kubwa ya simu za vivo ni zintaumia kifaa cha OTG. Kwa maana nyingine ukichomeka kifaa chako cha biometric, ili uweze kusoma fingerprint ya mteja, hicho kifaa kitasoma kwa haraka sana bila mauza mauza.
Hutakuwa na haja ya kuingia google ili u-download kifaa cha OTG ili uweze kutumia kwenye yako. Simu zote za vivo zinakuja na OTG ndani ya simu.
Unachohitaji kufanya wewe ni kudownload application ya Tigo Agent, kuwasha OTG kwenye simu yako vivo, na kila kitu kinakuwa murua.
Hizi simu pia zinauwezo wa kutunza chaji kwa muda mrefu. Na hazi ''stuck''
Hii simu inakuja na uwezo wa betri 4030mAh. Na processor yake ni MT6762R.
Kwa maana nyingine, ukiwa unafungua application yako ya Tigo Agent, haitaganda kwa muda mrefu mpaka ifanye kazi. Na unaweza ukajasajili wateja wengi utakavyo bila kuhofia simu kuisha chaji.
Hizi simu zinapatikana Kariakoo, Posta, Mlimani City, Mwanza, Arusha, Dodoma, na Morogoro.
Na vifaa vyake vyote vipo. Kama simu ikiharibika mafundi wapo wa kuitengeneza. Na warranty yake ni miaka miwili.
Bei ni mteja anapanga mwenyewe(natania)
Bei ya Mwanzo ni laki mbili na themanini. Unapunguziwa mpaka mbili sitini.
Kama unaishi Dar unaweza ukanipata kwa hii namba 0747 292939. Na ukinunua hii simu unapewa zawadi ya chupa ya maji.
Picha za simu: