Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
Jambo letu tena!
Jipe thamani mwenyewe. Usijichukilie kuwa mnyonge sana. Jikumbushe mambo mazuri mengi uliyofanya. Jikumbushe mbali ulikotoka na mengi uliyoyafanikisha. Utagundua kuwa wewe ni wa pekee.
Jikumbushe mara nyingi kuwa wewe sio wa kawaida. Mafanikio yako ni matokeo juhudi zako. Hata kama hujaridhika, bado umetenda makubwa na umetoka mbali. Nikutakie siku njema na kazi njema.
Pocco