[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja aje kukupa mwongozo.
Cc mahondaw
ngoja wajuvi wa mambo wajeHabari wakuu.
Mimi sio mchangiaji sana wa thread humu lakini kuna member wengine wanaboa.
Kama huyu anayejiita smart911. Yeye kila unapokuta reply yake hakuna cha maana anachoreply zaidi ya maneno haya "ngoja waje" au "ngoja waje kukupa mwongozo".
Hivi huna shughuli za kufanya au ndio kati ya wale wenye IQ ndogo mno.
Jirekebishe mkuu kama huna cha kuchangia waweza kupiga kimya.
Najua kuwa bando ni lako, device ni yako na muda ni wako, ila jaribu kukua.
Muwe na usiku mwema
Tatizo binadamu wabishi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja aje
[emoji23][emoji23][emoji23] mapikipiki eti, pacha umeanza lini uchokoziTatizo binadamu wabishi sana
Cc mapikipiki
Hahaha mkuu umeniwahi.[emoji23][emoji23] Ngoja aje kukupa mwongozo.
Cc mahondaw