Wewe ulikua yupi?

muigiaji wa kiwango cha kimataifa. Yani tunaweza kubadilishana karatasi za majibu kwa speed ya light.
 
Mi nilikuwa back bencher mpaka saivi kwenye tukio lolote sikai mbele mi siti za nyuma tu
 
Mimi nilikuwa mkali wa soka, mpenda mademu, na nilipendelea sana kukaa nyuma kuwachapa wanafunzi wenzangu barabendi (rubber band) niliyoweka karatasi gumu. Kiranja akiniandika tu, nilimsubiria nje baada ya shule ili nimshughulike na nilimshughulikia haswa kwani wakati mwingine baada ya kichapo alikuwa haji shule the next day au anaomba kuacha ukiranja.
 
Shule ya msingi nilikua joni kisomo..sekondari mtoro..mimi na rafiki zangu tulikua tunatoroka tuko radhi tukachague mitumba karume kuliko kua shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…