Jo Assistant
Senior Member
- Jun 20, 2014
- 195
- 199
- Thread starter
-
- #41
Vipaji havifi mdau wangu... π Ila usipovitumia vinakuwa butu (bado unaweza ukavichochea).Mpira.... kilikufa
Short race(mbio)...kikafa pia
Ujenzi...kikafa
cooking skills...bado kipo nitakifanyia kazi
Hivi ulevi ni kipajii?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi hicho cha ulevi nadhani ndio nakitendea haki na cha upishi kidogo...hiki cha upishi sitokiacha kife lazima nikifanyie jambo kubwa 2021...nikimbizane na fred uiso mzee wa maspta saptaVipaji havifi mdau wangu... [emoji28] Ila usipovitumia vinakuwa butu (bado unaweza ukavichochea).
Ulevi ni kipaji cha self-destruction [emoji23][emoji1373]
We unafaa kufanya kazi Shilawadu kwa kweli ππΌKipaji cha umbea na kufuatilia mambo ya watu
ππ nahitaji watu kama nyie...Upishi,
maana na Napenda kula vyakula Vizur na vitamu haswa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We unafaa kufanya kazi Shilawadu kwa kweli [emoji1373]
Yes... Technically speaking, talent counts but effort counts twice.Success = 1% talent + 99% hard work