Wewe ungefanyaje?

Wewe ungefanyaje?

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
298
HAPA BUSARA INAHITAJIKA

Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambaye ni kijana hajaoa. Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo, alipofika ndani kwake akakumbuka amesahau nguo yake ya ndani kwenye ile ndoo, akatoka harakaharaka vilevile na khanga moja na kugonga mlango.

Jamaa akamwambia aingie ndani aichukue, anatoka tu mlangoni anakutana na mumewe anatoka kazini kamuona mkewe kavaa khanga moja na mkononi kashika nguo ya ndani.

Je, wewe ungekuwa ni mume au mchumba wake ungefanya maamuzi gani?

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji267][emoji267][emoji1534]
 
Unaenda kununua ndoo yenu na mkeo ya kuogea
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Back
Top Bottom