wewe ungejificha na nani?? mtagi ajijue

Akikujibu naomba nistue
Haina noma,moja ya mbinu za ushindi katika ni kumjua adui yako ana silaha gani kisha wewe una muandalia silaha kama zake au zaidi yake. Lengo la kupigana vita ni kushinda wala si kushindwa.

Hapa nipo katika kujua silaha za adu yangu kisha nijipange hata kama nikiingia katika uwanja wa mapambano nisije kujilaumu a kufedheheka.
 
Kila la kheri mkuu
Angalia usipate mashambulizi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kaka mie Kamusi nnayo. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sijakuona muda kidogo. Mzima Kaka?
uje unifundishe basi dada angu maana hii lugha sio mchezo [emoji3][emoji3]

mimi ni mzima...nilikua porini nikakosa mtandao, habari ya siku nyingi dada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…