Kimya kimya lakini.Na Mimi mlipanga kujificha mwenyewe. Tungejikuta tumejificha pamoja?
Ndio, kama Juma Mchopanga na Ngwair!Kimya kimya lakini.
[emoji121]Ningejificha mwenyewe.
Mwenye kutaka kujificha na mimi aje kimya kimya lakini.
[emoji106][emoji121]
Mmh. We ndio Beira kwani?Kwani kuna ubaya ?
Sio. Nimeonyesha tu ushirikiano,au kuna tatizo ?Mmh. We ndio Beira kwani?
uje unifundishe basi dada angu maana hii lugha sio mchezo [emoji3][emoji3]
mimi ni mzima...nilikua porini nikakosa mtandao, habari ya siku nyingi dada?
Hakuna tatizo.Sio. Nimeonyesha tu ushirikiano,au kuna tatizo ?
Poa.Hakuna tatizo.