Wewe -Ungekuwa meneja mkuu wa Precision Air

Du Makunga mbona yupo humu JF ajibu hizi hoja na kuanzia sasa aruhusu Bodaboda zote zisogee pale KIA kuliko kizizuia zisiingie km ni habari za kweli

bwana mimi si mkuu wa wilaya isitoshe mi ni ke na nipo pande za kanda ya ziwa kbs.
 
bwana mimi si mkuu wa wilaya isitoshe mi ni ke na nipo pande za kanda ya ziwa kbs.

Nilivhogundua humu kuna watu wawili wanatumia jina la makungu mmoja ni huyo aliyeko kanda ya ziwa amayedai yeye si mkuu wa wilaya na ambaye pia ni mwanamke yupo kanda ya ziwa nabanatumia makunga lakini kuna wa pili ambaye ni mkuu wa wilaya ya hai,novatus makunga yeye anatumia Nova makunga
 
mimi naomba hawa fastjet wafike mpaka huku Songea tu enjoy wote jamani na huku kuna human being, za kukodi zinatuumiza jamani. Tunaomba sana please.
 
Tunawaomba hao fast jet waje na Singida,maana tumezoea kuona vindege vidogo wakati wa uchaguzi MO akija na Nyalandu.baada ya hapo hadi itokee "viwavi jeshi" au "kueleakuelea" ndo tunaona ndege tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…