Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Nilitegemea kusikia miaka 10 (one decade) but only 2 years. Anyway nakupongeza kwa hilo ila weka nia uwe na same status baada ya miaka 10 itakusaidia.
Maisha ya siku hizi yamekuwa na complication nyingi na muda unakwenda vibaya mno.
Keep up the good work ni mfano wa kuigwa!!!
leo nenda kaaanzishe bifu basi japo mtest adha ya kugombana ndan ya nyumba inakuwaje!!
unamaanisha aujawai kumnyina akanuna?daily sikukuuu?
m jst joking bwana
hongera...kuna mtu kaomba talaka wakat wapo honey moon...
Weweeeee!!Namshukuru mungu nimetimiza miaka miwili kamili kwenye Ndoa bila ngumi wala matusi,wala kwenda viwanja na vimini!!Karibuni kwenye sherehe yangu!!!Najua kuna watu watasema kuwa ni kipindi kifupi ila kwangu najua ni muda wa kusherehekea kwa kuwa kuna majirani zangu hazipiti siku ni maneno kwenda mbele,kashfa, dharau na matusi juu!!Pia ukizingatia kipindi hichi cha utandawazi kila mtu anajua haki yake ya kutendewa kile ambacho nafsi yake inakitaka bila kufikiria yuko wapi na nani!!!
Sina budi kusema mungu nipe uvumilivu niendelee hivyo kama walivyoishi mababu zangu!!!
Hongera ila wote sivyo tulivyo....WEWE NDIVYO ULIVYO!!!
Kwa hiyo unaniambia kuwa huwezi hata kuaapreciate mafanikio ulioyapata kwenye mahusiano yako kwa kipindi chote cha mahusiano?kweli wewe ndivyo ulivyo!! ila wanaoelewa wote ndivyo tulivyo!!!! ahahahahahaaaaaaaaaaaaa
pole sana maana munaishi kwa unafiki mkubwa wewe na mumeo/mkeo
pole sana[/QUOTE
mkubwa hakuna unafiki hata mmoja ndugu yangu na kamwe siwezi kuishi na mtu yeyote kwa unafiki ili iweje? ila kupitia coment yako naweza pata harufu ya kitu kwako!!!!
Anyway asante kwa comment yako kwa kuwa nayo imenipa hatua moja juu kwenye anniversary yangu!! God Bless you Edson!!!
Sasa hiyo HONGERA niliyokupa ilikua ya nini kama sijafurahia mafanikio yako????
Kilichofuatia hapo kilikua masahihisho ya signature yako!!Usiwe na haraka ya kujibu..........!!
duu umenelewa vbaya shost pole mwayaRose; ninachokisema labda umekielewa vibaya hayo mambo mengine hayaepukiki ila kupata nguvu ya kuyahimili kwa muda huo sina budi kushukuru pamoja nanyi na kuwaomba wengine wasiogope inawezekana kinachotakiwa ni kuepusha hayo unayoyasema nikayaanzishe leo?Mtu akikusema ukikaa kimya kuna kosa?ndio hayo ninayojipa pongezi kwayo!! Kumbuka ndoa ni muunganiko wa viumbe viwili wanaotoka katika traits(innate) tofauti na kuamua kuishi pamoja kwa hiyo hayo hayaepukiki pia elewa kuwa kizazi cha sasa hakina uvumilivui kama kizazi kilichotuzaa ndio maana ukasema kabisa kuwa kuna mtu aliomba divorce akiwa honey moon.
Na kwa msisitizo tupo honey moon kuamusha upya yale mapenzi yetu ya siku ya kwanza!!!
pole sana maana munaishi kwa unafiki mkubwa wewe na mumeo/mkeo
pole sana
duu umenelewa vbaya shost pole mwaya
soma vyema i just mean hongeren MNAUVUMULIVU CZ KUNA ENGNE WAMEACHANA NDANI YA HNY MOON SASA KUNIPA LEKCHA AS U DID AS IF NIMEKUTENGUA USEMI mmh ....apana
lugha ya kinyume nyume sweeetie skumaanisha as u replyd
poa.bye
duu umenelewa vbaya shost pole mwaya
soma vyema i just mean hongeren MNAUVUMULIVU CZ KUNA ENGNE WAMEACHANA NDANI YA HNY MOON SASA KUNIPA LEKCHA AS U DID AS IF NIMEKUTENGUA USEMI mmh ....apana
lugha ya kinyume nyume sweeetie skumaanisha as u replyd
poa.bye
Labda hajakuelewa kwa sababu ya hilo jicho la kukonyeza wengine tumekuelewa. Back to the topic hongera kwa miaka miwili. Kwangu nilifikiri ni mapema kumbe na mimi next month itabidi niadhimishe kwa nguvu miaka mitatu ya mafanikio makubwa. Mungu awajalie muendelee hivo maan........
Asante Gerald kwa kusecond comment za Rose!!thanx all Guys kwa pongezi zenu!!!!