Weweeee nimetimiza miaka miwili ndani ya Ndoa ya Christiani bila ngumi wala matusi!!!

Hongera sana!!! Wala usikatishwe tamaa bali kumbuka safari ya hatua elfu huanza na hatua moja...That is a great start...Ninakwambia haya kwa kuzingatia kwamba hata mimi nina MIAKA 10 ya ndoa na "still going on strong as if we've just started!!!"Kuna watabiri wa mambo walitabiri ujio wa watoto au maendeleo utaleta some challenges,however we have gone through all the ups and downs of this modern life pasipo kuchakaa kimahusiano......Yote ni maamuzi ya nyinyi wawili.Kwani watu wanaoana ili kuja kuachana??? When I said till death do us party...I was deadly serious no matter what!! Mimi ninakupongeza sana na kwa jinsi unavyofurahika.. You really mean a business! Big Up!
 

Hahaaaaaaaaa umenifurahisha sana. Yaani unajua hata ww huwezi kuvuka mwaka. Pole sana kwa kuvumilia kutukana/kutukanwa.
 
Dogo usijisifie kwa sasa . Huo muda ni mfupi kwa evaliation, study zinaonyesha mambo huanza kuwa magumu between 6 to 10 years. Brace uaself for that bro. Naweza kukupa ushauri kuelekekea huko
 
hureeeeee, hongera bro, i wish ningewajoin tuserebuke kwa pamoja. hongereni sana na Mungu awabariki na kuwazidishia furaha na siku katika maisha yenu na ya watoto wenu. amen
 
Ndoa siku hizi zina expiry date so hongera pia kwa kufikisha miaka miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…