Naombeni ushauri na uthibitisho kwa anayejua kama Wezesha Focus Vicoba wanatoa mikopo kweli. maana mimi nataka kuweka akiba na niombe mkopo WEZESHA FOCUS VICOBA
Ninaomba ushauri kwenu na uthibitisho kwa anayejua kama WEZESHA FOCUS VICOBA wanatoa mikopo kweli? Maana mimi nataka kuweka akiba na nikope mkopo ili kuanzisha biashara yangu.