I hope DP yako pia ni baba yako mzazi.Dp yako inazungumza, walau hat kwa siku moja tu muweke baba yako mzazi, hata kwa siku moja tu.
Don't be emotional hata kama ni mke wa mtu. Hapa unaongea kipya kipi? Hao matapeli Tanzania hii wako kila mahali. Hawajaanza uhuni wao lwasababu kituo kimerudo Mbezi. Hata huko Ubungo/Sinza/Mbagala wapo kibao.mimi siyo Jamaa. Mke wa mtu na nina kazi zangu.
Tunazungumza kwa niaba ya watanganyika
Na ndio walikuwa wananlmshangilia huyo chalamila.Kufungwa rasmi na milele kwa stendi zilizokuwa shekilango, Lumumba na mnazi mmoja imekuwa kicheko kwa matapeli, wezi, vibaka , wabakaji na waganga wa kienyeji waliokuwa wamekosa kazi:
MADALALI:
Ukishuka tu stendi pale , una mizigo, walet mfukoni na mabegi unavamiwa na vijana , MMOJA ANA TIKETI, MWENGINE ANAKUPIGA FINGA, MWENGINE ANAKUVUTA BEGI NA KUELEKEA UPANDE MWENGINE.
Dalali anakwambia Gari fulaniMbovu inaua sana, njoo nikupe hii haina ajali, abiria anaogopa na anamfuata dalali.
TIKETI FEKI:
Abiria anakatiwa tiketi ina jina la basi , ila ya mkononi anaambiwa akifika kwenye gari atapewa nyingine, mkononi say unaenda Arusha unalipa 40,000 kwa Dalali, alafu dalali anampa kondakta 30,000/- yeye anakupiga 10 na hujui kama ni mu wa lile basi ama la na amevaa flana ya basi husika tofauti na shekilango aboria aikuwa anafikam ofisi za basi ndani kabia.
WABAKAJI:
Genge la wahuni, wala mirungi na wanywa visungura, wao wanafanya kulaghai wanafunzi nanaotoka mikoani kuja DAr, kuwadanganya kuwapeleka chuo lakini wanaawapeleka magetoni na kuwabaka.
MUDA WA SAFARI:
Kwakuwa abiria anakatiwa tiketi na kishoka, akisema anataka basi la muda huo huo, basi mkata tiketi anamwambia basi ndio linaondoka, unakuta ni saa moja asubuhi kumbe basi linaondoka saa tano na mtu alikuwa anawahi maziko mkoani. Wale wakata tiketi si waajiriwa wa mabasi , hivyo huwezi shitaki basi. Hizi ni changamoto kubwa.
WAUZA VYAKULA:
Mtu anauza chips mayai ambayo ishapikwa inauzwa dirishani, hivi kwenye kituo cha daldala kweli chakula kinauzwa dirishani na mkuu wa mkoa anamuacha afisa afya wa jiji ofisini?
WAKATA USHURU WA KUINGIA GETINI:
Alfajiri ukingia , ukiwapa hela hawakupi tiketi, wanaibia serikali mpaka kamwanga katoke ndio wanaaacha. Hapa pawe na kamera
Bado hatujavuka,Tumevuka zama za kukata tìketi mkononi.
Umeweka Profile Pic ya kiume ndiyo maana.mimi siyo Jamaa. Mke wa mtu na nina kazi zangu.
Tunazungumza kwa niaba ya watanganyika
ooh, usijali besti.Umeweka Profile Pic ya kiume ndiyo maana.
Kwa kutumia hiyo kazi yako, basi hebu tupe critical thinking answers ya nini kifanyike ili kutatua hili tatizo!
Hizi ni Akira mpya kwa udhamini wa ccmKufungwa rasmi na milele kwa stendi zilizokuwa shekilango, Lumumba na mnazi mmoja imekuwa kicheko kwa matapeli, wezi, vibaka , wabakaji na waganga wa kienyeji waliokuwa wamekosa kazi:
MADALALI:
Ukishuka tu stendi pale , una mizigo, walet mfukoni na mabegi unavamiwa na vijana , MMOJA ANA TIKETI, MWENGINE ANAKUPIGA FINGA, MWENGINE ANAKUVUTA BEGI NA KUELEKEA UPANDE MWENGINE.
Dalali anakwambia Gari fulaniMbovu inaua sana, njoo nikupe hii haina ajali, abiria anaogopa na anamfuata dalali.
TIKETI FEKI:
Abiria anakatiwa tiketi ina jina la basi , ila ya mkononi anaambiwa akifika kwenye gari atapewa nyingine, mkononi say unaenda Arusha unalipa 40,000 kwa Dalali, alafu dalali anampa kondakta 30,000/- yeye anakupiga 10 na hujui kama ni mu wa lile basi ama la na amevaa flana ya basi husika tofauti na shekilango aboria aikuwa anafikam ofisi za basi ndani kabia.
WABAKAJI:
Genge la wahuni, wala mirungi na wanywa visungura, wao wanafanya kulaghai wanafunzi nanaotoka mikoani kuja DAr, kuwadanganya kuwapeleka chuo lakini wanaawapeleka magetoni na kuwabaka.
MUDA WA SAFARI:
Kwakuwa abiria anakatiwa tiketi na kishoka, akisema anataka basi la muda huo huo, basi mkata tiketi anamwambia basi ndio linaondoka, unakuta ni saa moja asubuhi kumbe basi linaondoka saa tano na mtu alikuwa anawahi maziko mkoani. Wale wakata tiketi si waajiriwa wa mabasi , hivyo huwezi shitaki basi. Hizi ni changamoto kubwa.
WAUZA VYAKULA:
Mtu anauza chips mayai ambayo ishapikwa inauzwa dirishani, hivi kwenye kituo cha daldala kweli chakula kinauzwa dirishani na mkuu wa mkoa anamuacha afisa afya wa jiji ofisini?
WAKATA USHURU WA KUINGIA GETINI:
Alfajiri ukingia , ukiwapa hela hawakupi tiketi, wanaibia serikali mpaka kamwanga katoke ndio wanaaacha. Hapa pawe na kamera
SAsa tufanyeje kama uelewa wa Watanganyika ndio huuHao matapeli wakiuwawa tuwatetee?
"akira" ni kitu gani mpwa?Hizi ni Akira mpya kwa udhamini wa ccm