Wezi, Matapeli na Vishoka Stendi Mbezi Loius Wachekelea

Chai
 
Safi kwa ufafanuzi mzuri. Nimekuja kugundua JF watu wanashabikia uongo na upotoshaji. Huyo Jaji mfawidhi anayesema uongo ana like nyingi kuliko wewe unayesema ukweli.
Siku hizi vitu vingi vinafanyika online kuanzia matokeo ya darasa la saba hayanandikwi kama ilivyokuwa zamani na hakuna mzazi au mwanafunzi aliyelalamika kwamba hajaona matokeo yake ukizingatia shule za msingi zipo hadi vijijini, vyeti vya kuzaliwa maombi yanafanyika online, selection za form 1 online, sasa sijui hawa wenzetu wanaoshindwa kukata tiketi online wapo nchi gani hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…