Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Niliwahi andika miezi kadhaa,
....
Nirudi kwa mkuu wa kituo Kawe, ndugu yangu naomba niwajulishe kuna wizi unatokea Kawe Mtoni na maeneo ya bar za Soweto mpaka kanisa la Victory. Kila siku wamama wanaporwa wanabakwa majuzi tumekuta nguo za ndani njian....
Vigenge vya wahuni mnavijua kule Mtoni Kawe kuna magofu matatu na wengine mnakuja kuwakamata aubuhi jioni wanarudi usiku hatulali wenzenu. Naomba niwajulishe kuna sehemu kabisa nyumba zinauza mpaka na madawa ya kulevya ndani. Bangi gongo tukiwakamata wanarudi na mnaifahamu leo atuezi tembeaa saa moja kuogopa wezi.
Wezi hawa wanaongozwa na kijana Minyembe ambae hapo kwenu nahisi ameshasaini vya kutoshwa akisaidiwa na mwenzie Mswati hawa wote wameripoti sana hapo na kutoka. Sehemu wanayovutia bangi mnaijua na polisi wakijisikia wanakujaga kuwakamata wanatoka na bado wanaendelea.
Mkifika eneo la CHADEMA ama Soweto bar ulizeni kwa mjumbee, pembeni yake kuna vyumba viwili hivi ndio maskani kubwa ya wavuta bangi na wezi wakubwa wanaopora Mtoni Kanisani Darajani Rainbow.. Mpaka Tankibovu usiku.
Na bangi wanavuta wazi kuanzia mchana na sasa hadi madereva pikipiki wanakuja hapo mchana kuvuta live wanaondoka. Kama mtaamua kufunga hii sehemu wasionekane wakiiuziana bangi /gongo mtasaidia wananchi wengi sana.
Tunaomba mkuu wa kituo Kawe hawa watoto awajatushinda kabisa tusaidiane kwenye hili jana wameiba simu zaidi ya kumi na wamejeruhi watu wanne pale Mtoni Kawe saa kumi na mbili jioni haipendezi kabisa.
Tusimuangushe Rais ambae yuko kupambana na maendeleo na upande wa usalama mtoe ushirikiano kumsaidia.
Mbarikiwe.