DOKEZO Wezi wa Miundombinu TANESCO na TTCL

DOKEZO Wezi wa Miundombinu TANESCO na TTCL

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

F I RITTE

Senior Member
Joined
Nov 7, 2024
Posts
127
Reaction score
137
Barabara ya Nyerere road, reli ya kuelekea Buguruni, kituo cha Treni llala kuelekea Gongolamboto, kuna vikundi mbalimbali vya wezi hasa wa miundombinu ya Shirika la umeme Tanzania TANESCO na Shirika la mawasiliano Tanzania TTCL.

Pia wanajihusisha na wizi wa mali za raia mfano vifaa vya magari, taa, sidemirow, tairi, betri na spea nyinginezo.

Pia kuna kuvunja na kuiba mali mbalimbali, nitawataja baadhi ya vijana wanaojiusisha na huo wizi hasa huu wa miundombinu Black mdogo yaani mweusi mdogo, Rafa, Zakayo kabila Mhaya, Rafael, Zakayo na Rafa ni wataalamu wa kutegua nyaya zenye moto wa umeme, Baraka, huyu ndiye mdogo kabisa, Msambaa huyu anaishi Pugu kona, Mnyaturu, Rama kimkono, Bahati Msambaa, Muha kidari (Mussa) nitaendelea kuweka majina mengine kadri nitakavyofanya uchunguzi itaende....
 
Kama taarifa ni ya kweli bas kongole kwako sana. Kwa mtindo huu tutakomesha wizi
 
Peleke hii taarifa central police mkuu
Baadhi ya askari wanaofanya patrol usiku wanalijua hili, na wakati mwingine huwanyanganya hizo shaba (wezi wanayaita maboro) na kwenda kuuza wenyewe kwa wateja wanawajua wao, na kuwaachia hao wezi.
 
Peleke hii taarifa central police mkuu
Eneo nililolitaja Polisi wanalijua, hao niliowataja wapo na wengine watawataja wenzao wanaoshirikiana nao ni kazi ya Polisi kulifuatilia hili ili kujua ukweli, maana niliowataja wapo na wengine wanalala kwenye mabanda ya mama lishe yaliyopo eneo hilo.
 
Baadhi ya watuhumiwa wa wezi wa miundombinu niliowataja hapa wamekamatwa mwezi mmoja nyuma, waliokamatwa ni Black mdogo, Mshinyanga, na Mwendokasi ambao ni miongoni mwa niliowataja hapo awali, huyu Mwendokasi ni dereva pikipiki lakini kwenye mgao wa wizi yumo, majina ya wengine wawili nitayaleta hapa, kesi yao ipo Mahakama ya Wilaya Temeke, watuhumiwa wapo gereza la Keko, waliokimbia na kwenye tukio walikuwepo ni Mnyaturu, Dogo Baraka, Zakayo na mmoja nimemsahau ila anaishi Chanika.
 
Ajira hamna watu wanakuwa wezi

Back
Top Bottom