Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Taarifa imetolewa na Jeshi la Polisi MkuuDah we jamaa kwahy imekuuma sio sasa kilo 50 ndio ya kusemaa kwenye mitandao au msosh kwenu ni ishu ya maana oyaaaaa unatia aibu hao sio wez ni njaa tu zinawasumbua pumbv zako mtoaaaa uu
Mngewaita wahitaji kugawa chakula mjue hamtoi sadaka kwa wahitajiWadau hamjamboni nyote
Habari mbaya kutoka.
Wezi wamevunja na kuiba mahindi ya Kande kilo 50, Maharage kilo tano, mafuta Lita moja na nusu usiku wa kuamkia jana. kwenye Kanisa la Waadventista Wasabato Kibiti
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Rufiji Protas Mutayoba amethibitisha tukio hilo na kusema msako mkali unaendelea kuwanasa wahusika.
Niwatakie jumapili njema
MCL
Itakuwa wewe ndiyo Umeiba makande hayo,hata unavyoandika tu inaonekana kabisa umeshiba makande ya wizi, rudisha makande yetu mwizi mkubwa wewe.Dah we jamaa kwahy imekuuma sio sasa kilo 50 ndio ya kusemaa kwenye mitandao au msosh kwenu ni ishu ya maana oyaaaaa unatia aibu hao sio wez ni njaa tu zinawasumbua pumbv zako mtoaaaa uu