Gamic
JF-Expert Member
- Jun 24, 2021
- 1,156
- 2,271
Habari wakuu!
Mwenyezi-MUNGU wa mbinguni awabariki.
Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka ,Wezi wanakera sana . Mwizi apigwe. Mwizi afungwe. Mwizi achomwe moto .
Mwizi anaweza kukuibia Kitu wakati ambao unakihitaji sana na kukwamisha mipango mingi muhimu.
Kuna wezi wamenikera, wameniibia vitu muhimu wakati ambao ninavihitaji , wameniibia vifaa muhimu navyotumia kufanikisha kazi zangu pamoja na kiasi fulani cha pesa.
Wezi hao nawashtakia kwa Mwenyezi-MUNGU , vitu hivyo vigeuke moto unaowaunguza .
Wanapotumia vitu hivyo na kiasi cha hiyo pesa waliyoiba waungue.
Mwenyezi-MUNGU awabariki wote wanaotafuta na kupata kwa jasho la halali katika kazi zao. Wezi wanavunja sana moyo.
Mwisho , Kitu anachoiba mwizi ; Mwenyezi-MUNGU akigeuze moto unaomuunguza yeye (Mwizi ) kila wakati anapokitumia kitu hicho .