Wezi wanakera

Gamic

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2021
Posts
1,156
Reaction score
2,271
Habari wakuu!
Mwenyezi-MUNGU wa mbinguni awabariki.

Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka ,Wezi wanakera sana . Mwizi apigwe. Mwizi afungwe. Mwizi achomwe moto .

Mwizi anaweza kukuibia Kitu wakati ambao unakihitaji sana na kukwamisha mipango mingi muhimu.

Kuna wezi wamenikera, wameniibia vitu muhimu wakati ambao ninavihitaji , wameniibia vifaa muhimu navyotumia kufanikisha kazi zangu pamoja na kiasi fulani cha pesa.

Wezi hao nawashtakia kwa Mwenyezi-MUNGU , vitu hivyo vigeuke moto unaowaunguza .

Wanapotumia vitu hivyo na kiasi cha hiyo pesa waliyoiba waungue.

Mwenyezi-MUNGU awabariki wote wanaotafuta na kupata kwa jasho la halali katika kazi zao. Wezi wanavunja sana moyo.

Mwisho , Kitu anachoiba mwizi ; Mwenyezi-MUNGU akigeuze moto unaomuunguza yeye (Mwizi ) kila wakati anapokitumia kitu hicho .
 
Dua la kuku halimpati mwewe. All in all, Pole sana.
 
Naunga mkono hoja
 
Nashangaa Mwizi anaiba vitu ambavyo havina manufaa kwake. Passport, vitambulisho, vibali, certificate. Hivyo si bora umrudishie mwenyewe.
 
Mkuu potezea tu na songa mbele. Kila Mtanzania ni mwizi katika nafasi yake. Hata wewe vilevile. Chakufariji aliyekuibia naye ataibiwa tu na aliyemuibia naye atalizwa. It's a fakin cycle we have to live with.
 
 
Kwani we kazini kwako haupigi mkuu?unaonaje hizo dua zikugeukie
 
Mkuu potezea tu na songa mbele. Kila Mtanzania ni mwizi katika nafasi yake. Hata wewe vilevile. Chakufariji aliyekuibia naye ataibiwa tu na aliyemuibia naye atalizwa. It's a fakin cycle we have to live with.
Asante mkuu ...
 
Kwani we kazini kwako haupigi mkuu?unaonaje hizo dua zikugeukie
Vifaa vimeibiwa katika mazingira ya nyumbani kwa kuvunja kufuli . Ingekuwa ni wewe umevunjiwa mlango , how would you feel mkuu ? By the way , nature ya kazi yangu hairuhusu upigaji .
 
Asante mkuu
 
Unasema mwizi apigwe, sijui afungwe hlf same time unamshtakia Kwa mungu
Mbona wajichanganya yakhee
 
Pole mkuu. I feel you pain. Mwizi ni zaidi ya fisi....
 
Wezi huna hata haja ya kuwa laani mkuu maisha yao tu ni laana tosha anyway pole kwa kuotewa kila mtu ashawahi kuotewa au kuotea. Kila mtu ni mwizi lakini sio wez wote ni watu. Chukulia kama darasa nextime uwe makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…