Waganga wapo, nilimkomesha mtu m1 na haamini hadi kesho, anasemaga moe nina roho mbaya sana.Hakuna mganga nchi hii wala dunia hii akusaidie wakati yeye menyewe hawezi kujisaidia ana maisha magumu mpaka kwenye meno
Japo nimecheka, ila nakusanua waganga wa kweli wapo. Amini hilo.Hahaha ndio waganga hao tunaotaka kuwakimbilia watusaidie
Mnataka waganga wa mjini na hawa wanaojitangaza mitandaoni.Sure mkuu Kuna wataalam wanatengeneza mpaka nyoka anakuwa mlinzi wa eneo Hilo akiingia mhalifu anaee! Ila sasa kuwapata wataalam wa namna hiyo ni mbinde kwa sasa wamejaa matapeli mpaka ufanikishe unaweza jikuta umeliwa pesa nyingi sana
Ndoumpe mbunu sasa afanyeje kumaliza hilo???
Hakuna, narudia tena hawapo dunia nzimaJapo nimecheka, ila nakusanua waganga wa kweli wapo. Amini hilo.
Wasiojulikana wapige jujuWaganga wapo, nilimkomesha mtu m1 na haamini hadi kesho, anasemaga moe nina roho mbaya sana.
Wala sio uongo, nikikasirika ile sana na moyo ukaniambia coca hapa umeumia, sina unafiki, KISASI ndio jadi yangu.
Muwe mnaongea na watu vizuri, wawape ya kilingeni.
Unamtumia mwizi kumkamata mwizi
KariakooTafadhali naomba unijulishe wapi- huko dar -nitapata ving'ora vya solar.
Namba yao ya simu-kama unaweza kuipata
Hawanihusu, au hawajanigusa mie direct.Wasiojulikana wapige juju
WapoooHakuna, narudia tena hawapo dunia nzima