Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Sipo peke yangu kuna vijana wote hapa mtaaani tumejipanga wote nimewapa mafutaKuwa makini na hizo silaha zako, zinaweza kukuletea madhara bado dhaifu sana kwa vibaka wa usiku.
ndani ya Kabul - Afghanistan.
Hilo la Alam ni bei Gani mkuuMimi pia waliwahi tekenya kufuri
.
Ila now nimeweka la alam an mtu akishika tuu natola nje na upanga na mafyta ya nazi
WEZI WA MAMAWatu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam.
Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka
View attachment 3426890
Wezi hao walifumua bati la juu na kufanikiwa kutoboa ceiling board ambapo waliiba mali kwenye maduka ya simu, nguo na duka la bidhaa za jumla za matumizi ya nyumba.
Source: Eastafricatv
24 elfu mpka 25Hilo la Alam ni bei Gani mkuu