Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
shirika la chakula duniani, limesisitiza ulaji wa wadudu ili kuepukana na tatizo la njaa linalokabili mataifa mengi hapa duniani! zaidi ya watu bilioni moja wanaishi kwa kula 'wadudu' hapa duniani ambapo imekuwa ni mwitikio mzuri wa zoezi hilo! kwa upande wangu.. ningependa sana kuwapongeza akina 'rutashobolwa' kwa kuwa waelewa.. labda oil sumu, ze duduz, allenmwita 'mura' na wengineo watafuata order hii? sijui kwa kweli!! View attachment 108403