WFP yasisitiza ulaji wa wadudu kuepukana na janga la njaa!!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
shirika la chakula duniani, limesisitiza ulaji wa wadudu ili kuepukana na tatizo la njaa linalokabili mataifa mengi hapa duniani! zaidi ya watu bilioni moja wanaishi kwa kula 'wadudu' hapa duniani ambapo imekuwa ni mwitikio mzuri wa zoezi hilo! kwa upande wangu.. ningependa sana kuwapongeza akina 'rutashobolwa' kwa kuwa waelewa.. labda oil sumu, ze duduz, allenmwita 'mura' na wengineo watafuata order hii? sijui kwa kweli!! View attachment 108403
 

c o jukwaa lake hili! Alafu unanianza kunchokoza
 

Mataifa mengi hapa nchini..like seriously?? WTF!
 

Hapo Kwenye Red Rekebisha kwanza!! Ili tutiririke vizuri
 

nyio ndo wale wale mnaogelezeaa mpaka jinaa kwenye mtihan! Yaani hujui hata ku-edit.. Unacopy tuu hvo hvoo! Jipangeee
 
nyio ndo wale wale mnaogelezeaa mpaka jinaa kwenye mtihan! Yaani hujui hata ku-edit.. Unacopy tuu hvo hvoo! Jipangeee
najua ww ni wa bukoba brother.. so ni kawaida na hawa wadudu ushawala sana! wah*ya bhana! utawajua tu!
 
najua ww ni wa bukoba brother.. so ni kawaida na hawa wadudu ushawala sana! wah*ya bhana! utawajua tu!

mkuu umejuaje Ila duuh unakariri mbaya @ i think ni ile post ya molembe niliyochangia, otherwise ni pm ukitaka nikusomeee
 

Bongo Movie Bongo lala ,kilaza kwel wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…