Whaaat ? Kwenye mfuko wa Rambo tena ??

UmkhontoweSizwe

Platinum Member
Joined
Dec 19, 2008
Posts
9,454
Reaction score
8,894

Wanaojifanya wakware sasa kazi kwao. Kama mbinu hizi mpya wasipojihadhari nazo, basi siku moja tutazikuta nanii zao polisi zikiwa kwenye mifuko ya Rambo na wao wako hospital wanauguza makovu.
Akipona nadhani wampe akaweke kwenye museum.

Source: BBC News - Bangladesh woman cuts off 'attacker's' penis
 
Aisee, hakikisha wanawake wa Bongo hawasomi hii, maana wataitumia kulazimisha malipo ya juu toka kwa clients wao!
 
kweli hakuna solution
nzuri kama hii ... nimeipenda sana

kama kweli mtu anakubaka
na ukawa na nguvu za kujivuta
na kuondoa mtarimbo mmmmhh
utakuwa umewasaidia wengi sana.
 
Aisee, hakikisha wanawake wa Bongo hawasomi hii, maana wataitumia kulazimisha malipo ya juu toka kwa clients wao!

Kweli kabisa kama yule Mwalimu wa Bulongwa Makete walimuua sasa hii itakuwa ndio deal lao...
 
kweli hakuna solution
nzuri kama hii ... nimeipenda sana

kama kweli mtu anakubaka
na ukawa na nguvu za kujivuta
na kuondoa mtarimbo mmmmhh
utakuwa umewasaidia wengi sana.
Afro, ukiondoka nao unaupeleka wapi sasa?
 
Afro, ukiondoka nao unaupeleka wapi sasa?

Nikipeleke police-- watafungua kesi
Nikipeleka Hospital --watamrudishia
Nikipeleka Museum -- wegi wataiona na wengine watanufaika
sasa jibu lililobakia ndio hilo hilo
 
Aisee, hakikisha wanawake wa Bongo hawasomi hii, maana wataitumia kulazimisha malipo ya juu toka kwa clients wao!

PJ, wakiitumia kudai malipo ya juu itakula kwao, maana watajiharibia soko hata la malipo hayo madogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…