Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Nikwambie Mwanakijiji,huko ndani ya CCM hakuna mzuri hata mmoja. Mbona kama wapo hawafukuzi waliowachafu zaidi ya kupiga blabla na nchi inaangamia? Huwezi kuishi ndani ya Dampo kisha ukasema wewe ni msafi.TOKA BASI. Upo ushauri mwingine ili kuleta mabadiliko ktk nchi hii, ila tukiutoa tutaitwa wahaini.
Haitoshi kusema enough kwani hata Nyerere alisema enough..Hivi kama viongozi tuliowapa madaraka wameshindwa kuchukua hatua kwa walithibitika kuwa wala rushwa na watoa rushwa,je sisi raia wa kawaida hatuwezi kufanya chochote cha kubadili nchi..hivi kujadili tu humu JF na kwengineko inatosha?hakuna mtu wa kumfunga kengele JK..JK hawezi kuwaadabisha surbodinates wake hata siku moja kwani hata yeye anafahamu kwamba sio msafi na kwa upande mwingine wanakula meza moja..Jamani mimi nimechoka kujadili jadili tu..tutajadili mpaka lini wakati Rais wetu hasikilizi kelele zetu,hazimnyimi kabisa usingizi wala hawezi kuacha kula kwa mijadala yetu..Anaendelea na maisha yake kw amani kabisa.
Are these people like Medusa? how can they even function with this level of corruption? Its as if somebody out there is dreaming about a newer way of siphoning the public money at warp speed! From one corruption to the next corruption scandal and some stupid politician keep telling us that JK is doing a "good job" but he is let down "by his subordinates" are you serious!?
xxxxx censored... xxxxx
This is enough.