3&4Jichagulie hapa;
1.kusoma na kufuta mawasiliano tatanishi.(sms,call logs, nk)
2.kuficha hela/walet
3.kusali kumshukuru Mungu
4.kusubiri gari ipoe baada ya mwendo mrefu
5.kufanya mawasiliano hasa wale walio kutafuta wakati wa safari.
Unaweza ongezea
nimeipenda hii n shida2.kuficha hela/walet
Finishing their conversations with nyumba ndogo or just talking to friends on how to divorce their spouses. Ndoa za siku hizi ni ngumu sana.What actually makes people stay in their cars for long before entering the house?
4 n 5 zinahusikaJichagulie hapa;