H Hilal Mjuni Member Joined Aug 16, 2013 Posts 13 Reaction score 3 May 30, 2014 #1 Habari zenu, ningependa kujua ni vigezo gani vinazingatiwa kabla ya kujiunga na law school. Ahsanteni
Habari zenu, ningependa kujua ni vigezo gani vinazingatiwa kabla ya kujiunga na law school. Ahsanteni
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 May 30, 2014 #2 Huijui ilipo hiyo Law School? Huijui tovuti yake? Hujui namba zake za simu? Wa wapi wewe?
Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,236 Reaction score 1,411 May 30, 2014 #3 acha ujinga wewe ingia website yao wameweka kila unategemea kuwa mwanasheria halafu vitu vidogo namna hii unashindwa kuchunguza
acha ujinga wewe ingia website yao wameweka kila unategemea kuwa mwanasheria halafu vitu vidogo namna hii unashindwa kuchunguza