Hilo swali ni assignment ya darasani? uki google utapata majibu mengi sana. We google tu tena nahisi uliyeuliza hili swali ni mwanasheria. mwanasheria lazima usome. tembelea Library ya sheria usome vitabu utapata majibu. uanasheria si kuuliza maswali ya darasani (assignment) kwenye mitandao ya kijamii. Hata hivyo nitakusaidia kidogo. Join group kwenya facebook linaitwa LAW STUDENTS AND LAWYERS. Kwenye hilo group maswali kama haya ya assignment hujibiwa.