sigara ina madini ya dopamin ndo yanayofanya uwe addict nayo pia ujisikie raha unapovuta sigara, also yanaongeza concentration wakati w kusoma
lkn athari za sigara ni nyingi sana. cause all cancers, heart diesease, pneumania. maradhi ya kifua,
kina mama wajawazito wanaovuta sigara na kunywa pombe inachangia pia kuzaa watoto wakaidi na wenye hasira za haraka, alafu wanashanga toto limerithi utundu kutoka kw nani