Habari za kwenu, Naombeni kujua ni vyuo gani vizuri marekani (sio lazima viwe on top) katika kufundisha mambo ya networking and information security kwa level ya masters. Pia viwe kati ya vyuo vyenye bei nafuu sana ndani ya marekani katika hizo course. Ningependa kujua pia kama wanatoa scholarships..
mkuu! what are the cheapest universities??? umeuliza kama vile unahitaji definition na maelezo ya hilo neno. kwa elimu yako umechemka, anyway kuna nyuzi humu jf kama utazipata zitakusaidia, jaribu kusearch kwenye jukwaa la elimu