What are the list of things that makes your wife & husband or fiancee successful??

Jamani mimi nawasalimia tu wana MMU...hope muwazima wote...have missed you kweli....nawatakia siku njema.
 
ha ha ha!when am there u gonna test it again n u will be used to that...nimeona summary bana,am especting urs even from the jungle lol
Hivi uliishawahi kupata binti akakupa THUG LOVIN l.o.l
 
Hli sredi la kiinglishi lilianza vizuri mpaka walipoingia waliosoma shule za kata....inglishi iz noti richabo!

Ngoja nikalianzisha la kifaransa kudadadadadeki....atakayechakachua hata kwa kiinglishi, nampia ban mpaka kwenye seva.
 
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa Babu una vituko sana aisee l.o.l
 
Hli sredi la kiinglishi lilianza vizuri mpaka walipoingia waliosoma shule za kata....inglishi iz noti richabo!

Ngoja nikalianzisha la kifaransa kudadadadadeki....atakayechakachua hata kwa kiinglishi, nampia ban mpaka kwenye seva.

Khaaa
babu ndo nini
Kunisema vibaya hivyo
hata mie niwa kata..

Kuanzia dakika hii
nimejitoa kwenye list ya wajuku
wakuku tetea.
mmmmhhhh
 
Khaaa
babu ndo nini
Kunisema vibaya hivyo
hata mie niwa kata..

Kuanzia dakika hii
nimejitoa kwenye list ya wajuku
wakuku tetea.
mmmmhhhh

Kwa kiinglishi tafazali...hili lisredi ni lakimombo
 
Hli sredi la kiinglishi lilianza vizuri mpaka walipoingia waliosoma shule za kata....inglishi iz noti richabo!

Ngoja nikalianzisha la kifaransa kudadadadadeki....atakayechakachua hata kwa kiinglishi, nampia ban mpaka kwenye seva.

Mambo ya kudhalilishana si mazuri bana.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…