what are the possibilities?

what are the possibilities?

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,259
Reaction score
1,056
jamani samahani kidogo wanaJF ila tu ni katika hali ya kujuzana mambo 2 ma3 ya kijamii,hivi kwa mfano mtu akaenda kusex kwa kutumia kinga(condom) na tahadhari zote za ziada kama vile kutoingia uvinza,bila kunywa juisi ya matango and generally avoiding all fluid contact with the partner yani ni foreplay zingine tu tu then followed by the actual intercourse,je kwa kufanya hivyo itakuwa ameepuka maambukizi kwa kiasi gani?
nawaslisha.
 
Back
Top Bottom