Kwa nini mara nyingi katika suala la mavazi wanaoharibu zaidi ni wanawake? Mfano tukiwa beach wanawake utakuta kafunika robo mwili tu, yaani pale kwenye -------- tena kwa bikini na kwenye maziwa tu. Tukiwa club wasichana utakuta wamevaa vaa minguo ya ajabuajabu tu, au utakuta mtu katoka na mpenzi wake out, utamwona mwanaume kavaa fresh lakini honeeee kavaa balaaaaa tupu!
Ladies and gents, welcome for conversation.