What are you willing to sacrifice to get what you want in life? “Usipokuwa tayari kuliwa kidogo huli” - Jakaya Kikwete

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
767
Reaction score
1,657
Greetings everybody.

Leo ni siku nyingine tunakutana kwenye darasa la leo ambapo nataka nikuonyeshe ukweli mchungu ambao watu wengi wanajaribu kuukwepa lakini wasijue kufanya hivyo ni kujidanganya tu.

Kwa kuanza nikuulize how may times umesikia watu wakisema aaah nataka niwe financially independent, nataka nianzishe biashara ili niachane na 9 - 5 hour job, nataka niache kula hovyo hovyo ili nipunguze uzito lakini watu hawa hawa hawapo tayari kujitoa kweli kutimiza malengo haya?

Nini point ya kupenda kitu usichokuwa tayari kujitoa kweli na kukipata?

Binafsi i hate being poor.

It sucks.

Lakini nitawezaje kutoka kwenye msoto wakati sipo tayari ku-sucrifice muda, familia, marafiki, pesa au wakati mwingine afya?

Je, nikiishia tu kusema I hate being poor itasaidia mimi kuwa tajiri?

The answer is NO.

Sasa hapa ndiyo Point ya “sacrifice” inakuja.

Huwezi kupata utajiri usipokuwa tayari kulipia gharama za kukufiisha pale.

Unahitaji kuwa tayari “to pay the price” ya aina na kiasi cha mafanikio unayoyataka.

Wanasema more money more trouble.

Hiyo ni kweli kabisa.

Ukianza kupata pesa nyingi majukumu nayo yanaongezeka. Na hii mara nyingi inasababisha stress kuhimili majukumu mengi mapya.

Alright.

Sasa nataka tuangalie mambo matatu 3 unayotakiwa kujiandaa ku-sacrifice ili kweli upate pesa.

1 • Family and friends.

Kuwa entrepreneur ni kazi ngumu sana.

It is very lonely journey.

Inahitaji focus ya juu. Na mara nyingi hii unaweza kufikia ukiwa mwenyewe.

Ukiwa unaunda business yako mpya trust me utatumia muda mwingi mwenyewe na hii inaweza kukusababisha kuwasahau marafiki au family member.

Baadhi ya watu hufikia hadi hatua ya kuachwa na wenza wao kwasababu they are so busy hawana muda kabisa wakuwa pamoja.

Vipi upo tayari ku-sacrifice marafiki na familia kwa muda fulani ili utumie muda wako kutengeneza stable income sources?

2 • Afya.

Mara nyingi ili uweze kupata pesa kweli inakugharimu afya yako.

Hapa nazungumzia afya ya akili yako lakini pia mwili wako.

Binafsi wakati mwingi nakuwa so busy with work nalala masaa chachache sana.

Muda wote akili ipo active.

Hii inaleta stress kwasababu nakosa quality sleep

Ni muhimu sana kwa afya lakini sasa ndiyo hivyo I need the money

Kwa watu wanaofanya kazi migodini na viwandani wao wanaumiza sana miili yao kwasababu yakuwa exposed katika hewa au radiation hatari.

Lakini lengo ni lile lile wanataka pesa na wameamua kulipa price.

Watu mashuhuri kama Steve Jobs huyu naweza sema aliunda kampuni ya Apple [emoji519] kwa gharama ya afya yake.

Mtu kama Elon Musk ni workaholic. Kama hapati quality sleep basi na yeye ana sacrifice afya yake kwaajili ya mafanikio ya kampuni zake. He owns several businesses. And they all successful.

Hapo vipi?

Je, upo tayari ku-sacrifice afya kwaajili ya kupata pesa?

3 • Kuwa tayari kukabiliana na haters. Most people dont believe in themselves. Don’t expect them to believe in you and your hustle.

Yes man.

Kama nilivyosema. More money more trouble.

Na wakati unaanza business au kitu chochote kile chakukuongizia pesa ya kueleweka inabidi uwe tayari kutoka mbele za watu na kunadi huduma au bidhaa yako.

Sasa hapa ndiyo utaelewa maana ya business.

Most people will ignore you.

They will laugh at you.

Na kama hauwezi ku-hunde rejection uta acha kwasababu ya kuvunjwa moyo.

Na niseme hii inaweza anzia hata hapo nyumbani.

Ukija mtandaoni na kwenyewe ni vile vile. Watu wanaweza wasiseme chochote kuhusu service au product yako lakini wanaweza ku-ignore tu.

How does that feel?

Inavunja moyo sivyo?

Sasa hiyo ni moja kati ya price au sacrifice unayotakiwa kujiandaa kulipia ukiwa unataka kufikia Financial freedom.

Ndiyo, kwa leo naomba niishie hapa. Tukutane wakati mwingine katika darasa lingine amazing kama hili.
 
Upo sahihi, nimejionea na ninaendelea kujionea
.h
😅😅hii mada ameniongelea mm kbs!nimejikuta nimepoteza marafiki kabisa niliwah mwambia rafiki yangu humu..i feel lonely sina marafiki wale nilokua nao..wamesepa .!

Kuna ishu nilikua naifatilia kahama..mtu niliyekuwa natakiwa kuonana nae ana hela had anaumwa..akawa hajali kbs mm kuhangaika kumtafta ilinilazima kukaa kahama mjini for 7dys...kulala kulala naljpia na asbh nikiamka naenda eneo la tukio..aliniappreciate mwenyew nikaamni kweli ukitaka kitu toa kitu.kubali kupoteza hela zako!toa hela upate hela😎
 
Yaani I pass through the same ,ndugu zangu matajiri nilikuwa nawaona selfish na not surpportive ,basi nkajiunga na wale wa chini yaani nkipata 100 nawagawia 40 baada ya kupata kazi nkiwa memaliza chuo ,basi nkasave kwa shida sana hadi siku moja nlipoishiwa mshahara tar 16 kisa ulevi na kusaidia ndugu ambapo mimi ndo naanza maisha na mshahara wa laki 600,000 wao wanaishi kwao ila hawana kipato mtoto akiumwa mm,majanga mimi ,nkakata shauri sito saidia mtu kwa miaka mitatu na afae mimi sio mungu afe ,basi nlikuwa dar nkatafuta kazi hyohyo mwanza mshahara 790,000 ila kwa ndugu nkawadanganya nmefukuzwa kazi nkatafuta na vifanicha na kujitia naviuza kufulia ukweli fanicha za maana zilitangulia mwanza (by the way hazikuwa hata za maana) ,kutua tu mwanza nkaacha pombe kabisa ,asee ndai ya 2 years mshahara +posho+rushwa nlikuwa namtaji wa 25mil nkakopa na mil 15-40mil nkakimbilia KIGOMA ,badae nlilipa hilo deni ila the rest is the story ........NAUNGANA NA JAMAA ,LAZIMA ULIPIE GHARAMA WEWE NA UWAPENDAO YA UTAJIRI

1.NDUGU HAWATAKUPA HURUMA YA KUKUACHA UKUE (WAKO SELFISH)

2.ULEVI +UMALAYA +BATA SIO MAADUI WA UTAJIRI ,ILA NI MAADUI KIPINDI CHA KUTOKA ,NAKUSHAURI KAMA HUNA BIASHARA INAYOKUINGIZIA FAIDA NET 150,000 KWA SIKU MKUU VIACHE KWANZA .

3.ISHI UWEZAVYO SIO WATAKAVYO UNAKAAJE NYUMBA YA LAKI 300,000 NA MAPATO YAKO CHINI YA MIL 1 KWA MWEZI ?

NDUGU HAKUNA LIFIST KAMA MIMI ILA UPO MUDA WA KUJITOA MUHANGA ,HERI WAKUCHUKIE MIAKA MITANO KULKO UWE MASIKINI MAISHA YOTE
 
The only,



Somo zuri sana! Nilipokelewa na bros zangu..lakiniwameendekeza sana pombe...ni pombe tu !ss hv hata hawawez nikuta hawasave..wanatumia tu hela hovyohovyo...!wamegeuka maadui...!nimekubali hyo hali..!all the best
 
Somo zuri sana! Nilipokelewa na bros zangu..lakiniwameendekeza sana pombe...ni pombe tu !ss hv hata hawawez nikuta hawasave..wanatumia tu hela hovyohovyo...!wamegeuka maadui...!nimekubali hyo hali..!all the best
Ila usiharibu udugu dawa ni ficha ukweli wa mapato yako ,na ukiweza kajijenge mji mwingine kuna mdogo wangu alijenga lodge mbili kahama siku namtembelea ndo ananionesha namuuliza dogo mbona hukuniambia akanambia ,aliniiga mimi akanambia hata yeye alikuwa akisikia bro zangu wakisema nko selfish akajiuliza mbona familia yake hailii njaa ,akachukua my way nkamwambia good nkakagua mapato nkamwambia sasa nakuruhusu uanze wasaidia sio zaidi ya laki 3 kwa mwezi na make sure mkeo ndo anaongoza hizi kazi yeye ndo back up yako aminifu sio mimi na kaka zako sisi hatukupendi wewe bali wake na watoto zetu
 



Safi sana..no nilitaka niwasaidie kumbe hawatak wameridhika sana...mm sijaridhika !nafuata ushaurinwako!
 
Halafu kuna wale wanasema fungua biashara yako binafsi ili uwe huru, uamue kufungua au kufunga biashara yako, utaamua faida uifanye nini n.k. unless biashara yako iwe inaajiri watu wakufanyie kazi ila kama ni hizi ninazofanya mimi au mtaji bado wa kuajiri watu get ready to be surprised.

Actually ni uongo. Ukifungua biashara yako unakua mtumwa wa hiyo biashara kwanza, haitaki uwe mbali nayo wala kupretend hujui inaendaje ili ukale bata. Hook ups na mitoko inakufa kama masikhara, stress za namna ya kukuza mtaji na kukonda kwa kuisave faida zina wewe, maugomvi ya mbona siku hizi hatuwasiliani kama zamani nayo yamo, hasara ikibisha hodi unawehuka...

Ile 9 to 5 job waweza zuga unaumwa ili ukafanye mambo mengine (actually mostly ni sex) now iambie biashara yako leo unaumwa so hautaweza iendesha leo kisha unaenda sex kwa kuspend faida uliyosave.

Anyway sijaajiriwa bado so sijui down sides za kuajiriwa ila kuendesha kasehemu kako kakukupa mkate wa kila siku you just kicked your freedom in the balls.
 
The only,

Kweli wewe ni The only. The only one.

Ndiyo ipo hivyo mkuu.

Hayo mambo niliyoyaelezea usipokuwa tayari ku-sacrifice ni ngumu sana kutoboa financially.

I hate being poor.

Bora kufumba macho nakusema kama ndugu au marafiki watachukia au nitawapoteza hiyo sitajali sana kwasababu najenga msingi wa maisha yangu.

Nitakufa kwa stress nikiwa “dingi” halafu sina hela.

What the fu*ck???

Yaani wewe ni mzee halafu hauna pesa?

Sorry hii kauli inaweza wachukiza watu ila watu wazima umri umeenda halafu hawana pesa wanatia huruma sana.

Hamana anayewasikiliza.

I don’t want to live that way [emoji1430]

It sucks big time.
 
Castr,

Umesema ukweli watu hawapendi kusikia.

Entrepreneurship is hard.

Watu wanayoona kwenye matangazo jinsi wajasiriamali walivyofanikiwa ni upande mmoja tu wa shilingi.

Kama wewe huna “ngozi ngumu” kubali tu kuajiriwa.

Kuendesha biashara ni stress sana.

• kufahamu biashara gani uanzishe?

• utatumia mbinu gani kupata wateja. Kwasababu kwenye biashara you eat what you kill. Other wise hauli.

• utawezaje kufanya wateja waendelee kununua au kutumia huduma yako?

Mwisho niseme, ili ufanikiwe inabidi ufanye maamuzi ya dhati kabisa kuhusu hatima yako.

What are you willing to sacrifice to get what you want in life?

Kila mtu anajibu lake kulingana na aina ya maisha anayotaka.

Baadhi ya watu wapo comfortable kuishi maisha ya kawaida tu. Good for them.
 
Your right tena Ndugu ukifulia ndiyo wa kwanza kukusengenya. Your born alone and you will die alone. Wasaidie Ndugu kwa moyo wote ila isizidi kiwango cha mapato yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…