Thanks mkuu lakini nadhani swali liko broad sana na ingekua vizuri kama ungeweka scope au wewe mwenyewe kuwa specific ni nini unaexpect kutoka kwa wachangiaji
mimi ningekwambia nachukua likizo, napiga kura na kusubiri matokeo, lakini sidhani kama ndicho unachotegemea
more insight please