What attracts women to older men?

Kaka hujaona wadada pesa wanapokea kwa vijana wadogo wenye pesa lakini hataki kuishi nae akiamini kua atamsumbua waki oana, other wise awe older?
yeah it happens, ila mabinti sometimes mna make love isiwe na sense, coz logical unachokitafuta kwa "babu" ambaye hata similarities hamna nini kama si umeona kuna tuhela zaidi .so huwa mnapenda kumaliza njaa ukimkosa huyo older ndo mtu anajiachia kwako
"daladala love." huko mbele si unamjua mzee wa Playboy(hugh hefner) na vibinti vyake 3.
 



LOL.... nimeipenda daladala love.......

Mwanamke yeyote anaekuendea kwa babu aidha hakupendi au yuko insecure na anajua kuwa wewe si level yake hivyo hajiamini kabisa kuwa umependa just the way she is; ku garantee hayo mapenzi anaenda kwa babu/bibi...
 

hakuna mapenzi watu wanakuja na MAHITAJI tu siku hizi ,u better love urself rather thn lying tht u fall to smbody... Love it has become friendship set on fire ...
 
hakuna mapenzi watu wanakuja na MAHITAJI tu siku hizi ,u better love urself rather thn lying tht u fall to smbody... Love it has become friendship set on fire ...



Hakuna mtu hana mahitaji katika relation ship, ila nini mahitaji ndo problem... Ukiona wewe kila siku unapata ma partner ambao shida yao ni full mahitaji (material); inabidi na wewe pia ji observe the type of watu unaovutiwa nao, unaweza kuta you yourself ndo problem. C wanawake wote wanaenda kwa kalmanzira na si woote watakupenda kwa ulichonacho...

But in special cases kama wewe kijana Mungu kakujaalia kuwa na uwezo na huna mwenzi... That is a whole different story.... na kazi ipo...
 
God created that in me ila hapo kwenye red ndio usiseme kabisa kama vile luba lol



kumbe hamna kitacho haribika...lol - Na si unajua si ladies uking'ang'aniwa unaona ndo unapeeendwa! Kumbe jamaa hata hana habari nawewe anataka tu ID yako ya u Lawyer....lol
 
mababu ni wazuri sana kwenye suala la CARING.but wanaweakness zao.so lazima kuwavumilia!
 
I think older men are responsible and caring thats why
 
kumbe hamna kitacho haribika...lol - Na si unajua si ladies uking'ang'aniwa unaona ndo unapeeendwa! Kumbe jamaa hata hana habari nawewe anataka tu ID yako ya u Lawyer....lol
Hahaha!!! Asha D umenimaliza lol
 
Au nimekosea?.... lol... nipe basi a one on one man's perspective katika hilo...
Baadhi huwa wanapenda identity ya mtu fulani, but i would prefer a stronger woman you know what i mean
 
Wanaume wanakuwa wamekomaa kiakili na wameshacheza gemu za duniani kwa sana hivyo labda wakidonoa ila wanakuwa wanajua wanachotaka

Wanaume hawa ni wazuri pia katika kuraise family

Wadogo wanakuwa bado vichecheeeeee
Binti awe miaka 23 sema mume 24 nimechukua miaka ambayo wengi by standards wanakuwa wamemaliza chuo hapa nchini TZ ulaya miaka ipo chini kama UK. Haya hamjui kuwa mabinti ni wanalia tu ndoani wakija komaa kuwa na tabia mbovu hapo too late mwanaume anakuwa amechoka then kuomba mungu hawajaathirika etc
 
hakuna mapenzi watu wanakuja na MAHITAJI tu siku hizi ,u better love urself«rather thn lying tht u fall to smbody... Love it has become friendship set on fire ...

Kwa kweli umenena maana ndoa za siku hizi tabu matatizo yamejaaaaaaa
 
Baadhi huwa wanapenda identity ya mtu fulani, but i would prefer a stronger woman you know what i mean


Exactly! I get what you mean... One of the qualities all feminine but amazingly strong where she is supposed to be so.... If not mistaken.
 
uchunguzi wangu asilimia kubwa binti kuolewa na aged ni security wanajisikia salama zaidi kuliko vijana wenzao more ever most aged wanajali
 
Exactly! I get what you mean... One of the qualities all feminine but amazingly strong where she is supposed to be so.... If not mistaken.
Well said Asha D, mwambie Mr nimemuinvite kesho for a beer lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…